Pekua/search

Monday, June 25, 2012

O.A.U's Liberation committee first meeting happens in Dar

Leo (Juni 25) katika Historia yetu
Oscar Kambona

Mwaka 1963, kamati ya Ukombozi ya O.A.U ilifanya kikao chake cha kwanza jijini Dar es Salaam. Kikao hiki kilimchagua Mtanzania Oscar Selathiel Kambona (R.IP) aliyekuwa Waziri wa mambo ya Nje wa Tanganyika wakati huo, na kuwa Mwenyekiti wa kamati hiyo.

Tanzania imetoa mchango mkubwa sana katika harakati za ukombozi hususan kusini mwa afrika. Baada ya uhuru mshikamano ule umepotelea wapi? Baada ya ukombozi wa nchi hizo ni ipi nafasi ya Tanzania? Wapi Diplomasia ya Kiuchumi?

0 comments:

SUBSCRIBE- Andika email yako hapa utumiwe habari mpya

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77

Go Back to TOP