Pekua/search

Tuesday, September 4, 2012

HAKUNA MAELEZO YA KUMTOSHELEZA YATIMA HUYU

Slaa 'akimfariji' mtoto wa marehemu Daudi Mwangosi

Hakuna maelezo ya kumtosholeza yatima huyu kuelewa lolote la maana juu ya kukatishwa kwa maisha ya baba yake kulikofanywa na walinda amani na usalama wa nchi hii.

MAUAJI YA MWANDISHI DAUDI MWANGOSI HAYAHALALISHIKI! 

Inaudhi, inaumiza moyo, inakasirisha na kujazbisha sana.

"What difference does it make to the dead, the orphans and the homeless, whether the mad destruction is wrought under the name of totalitarianism or the holy name of liberty or democracy?"

Mahatma Gandhi, Non-Violence in Peace and War 
Picha kutoka http://www.jamiiforums.com

0 comments:

SUBSCRIBE- Andika email yako hapa utumiwe habari mpya

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77

Go Back to TOP