tag:blogger.com,1999:blog-2865033805917591468.post2569829739880801777..comments2024-01-01T06:24:14.184-08:00Comments on UPOLE: PLAU LINGEWEZA KUKUZA UZALISHAJI KAMA WADAU MBALIMBALI WANGEWEKA MSUKUMOAdamhttp://www.blogger.com/profile/04784485230438493932noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-2865033805917591468.post-77573624919671464652009-03-14T15:22:00.000-07:002009-03-14T15:22:00.000-07:00Home sweet homeHome sweet homeUnknownhttps://www.blogger.com/profile/15382063832542805237noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2865033805917591468.post-29869270359704400242009-01-27T03:52:00.000-08:002009-01-27T03:52:00.000-08:00Nimekufahamu kaka.Ni kweli sana maneno uliyosema. ...Nimekufahamu kaka.Ni kweli sana maneno uliyosema. Tunasema zaidi kuliko kutenda. Vitu hivyo vinahitaji zaidi utashi wa kisiasa. Huwa najiuliza sana, eti. Mfano suala tulilowahi kujadili suala la kueneza UMEME WA NGUVU YA JUA. Kwa nini serikali haikomalii?? Kwanini wadau wa sekta isiyo ya kiserikali hatukomalii?? kweli tuko serious na chochote? Hebu pata mawazo ndugu yangu tufanye nini zaidi kati ya haya - mimi na wewe? hataikiwa ni kukuza mjadala tu?Adamhttps://www.blogger.com/profile/04784485230438493932noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2865033805917591468.post-64671131909908532232009-01-27T03:36:00.000-08:002009-01-27T03:36:00.000-08:00AdamNapenda kukushukuru kwa kuandika juu ya matumi...Adam
Napenda kukushukuru kwa kuandika juu ya matumizi ya plau katika kilimo. Ukweli kilimo cha jembe la mkono hakiwezi kutufikisha kokote. Japo tangu tunapata Uhuru serikali inasema jembe la mkono haliwezi kuletea mabadiliko ya kilimo, cha ajabu serikali hiyo hiyo inasema kwamba sasa ni Mageuzi ya Kijani 'Green Revoluation' na hakuna mikakati ya makusudi ya kuleta hayo mageuzi.
Changamoto nyingine pia ni baadhi ya jamii sio wafugaji wa wanyama wanaweza kuvuta plau. Kwa mfano kule Kigoma, baadhi ya maeneo ni vigumu sana kukuta ngombe. Hivyo mbadala wa plau ambao ni trekta au 'Power tiller' (sijapata kiswahili chake) bado ni vigumu kwa wakulima wengi kwani wengi wao hawawezi kununua na baadhi wanao pewa kwenye program za maendelo changamoto inakuwa ni gharama za uzalishaji.
Juu ya kilimo mengi yamesemwa na tafiti nyingi sana zimefanyika sasa ni wakati wa vitendo sio maneno.
Mtoto wa mkulima amesema 'Vigogo wajinyonge ili wawasaidie wakulima'

Nawasilisha
Adam Jackson FoyaAdfam Foyahttps://www.blogger.com/profile/06965710509055899168noreply@blogger.com