tag:blogger.com,1999:blog-2865033805917591468.post2578082251194547919..comments2024-01-01T06:24:14.184-08:00Comments on UPOLE: WASEMAVYO WENZETU KUHUSU KISWAHILI!!Adamhttp://www.blogger.com/profile/04784485230438493932noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-2865033805917591468.post-73822485560208086182009-09-22T04:30:51.186-07:002009-09-22T04:30:51.186-07:00Shukrani kwa shairi hili zuri. Je twaweza kupiga h...Shukrani kwa shairi hili zuri. Je twaweza kupiga hatua kubwa zaidi, kwa kujadili NINI KIFANYIKE ILI TUWEZE KUKISUKUMA MBELE KISWAHILI CHETU???Adamhttps://www.blogger.com/profile/04784485230438493932noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2865033805917591468.post-52847960760485258672009-09-22T03:57:00.495-07:002009-09-22T03:57:00.495-07:00naomba nichangie kwa kutumia shairi lifuatalo:
cha...naomba nichangie kwa kutumia shairi lifuatalo:
cha kwake akakikana,kutumai cha wenzake
faham anayo lana,mpiga chake mateke
kila mdharau chake, kuzimu aenda kuona

kitunze na ukinene ,na ukipe haki yake
kisifu ukipe jina,kipambe na kipambike kila mdharau chake kuzimuaenda kuona.

ikiwa wenzetu wameona ni vema tukakienzi na kuongeza matumizi ya lugha hii ambayo inajulikana kama lugha ya AfrikaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2865033805917591468.post-16603600510575342232009-09-21T06:43:29.541-07:002009-09-21T06:43:29.541-07:00Inafurahisha kusikia Kiswahili kinaenezwa kupitia ...Inafurahisha kusikia Kiswahili kinaenezwa kupitia kwa mataifa mengine yenye kujua maana ya Lugha katika maendeleo.Mataifa makubwa yanajua ni kwa nini wapo pale walipo kimaendeleo ni kwa sababu ya Lugha, na kama wanataka kupata kutoka kwa wengine ni vema kwenda kwa Lugha zao. Marekani inatambua hivyo kwamba Lugha kubwa inayokua na ambayo haitokani na kabila la mtu, ni lugha ambayo ni Kimataifa kwa sababu inatohoa maneno kutoka katika bara, hivyo ni lugha ya kujivunia. Lakini ni nani aliyetayari kuuvaa Uafrika wake na Utanzania wake kwa kuzungumza Kiswahili? Wote tunataka kuwa Wamerekani kwa sababu tu wamendela, lakini kwa Lugha gani imewaendeleza? Kiingereza, je sisi tutaendelea kwa lugha za wenzetu? Ni muhimu tukapata mwendawazimu, ambaye ataliongoza taifa katika kufanya mapinduzi ya matumizi ya Lugha na kuhakikisha Fedha nyingi inaenda kwenye eneo la utafiti na uboreshaji wa Lugha ya Kiswahili. Wenzetu wanafanya utafiti kuhusu Lugha zao lakini na hata Lugha za Watu ili waweze kuwapata katika kila kitu wanachofanya. Sisi tunabishana kuhusu lugha yetu wenyewe eti haiwezi kukidhi haja ya kimaendeleo wakati wenzetu wanapambana nayo kujifunza kwa Bidii. Nakubaliana na Ossoro, Kama Amerika na Ulaya wanazungumza Kiingereza je Afrika itaunganishwa kwa Lugha gani kama si Kiswahili. Na Serikali haioni nafasi iliyopo mbele yetu ya kuuza kiswahili? Afrika hakuna lugha nyingine yoyote ya Asili ambayo inaweza kuwaunganisha watu zaidi ya Kiswahili, zingine zote ni za makabila ya Watu. Kheri anayekipa sifa Kiswahili maana ataitwa mwana wa nchi.TANZANIA
Ni mimi mtoto wa Mkulima AndulileAndulilehttps://www.blogger.com/profile/02245572072284562336noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2865033805917591468.post-11546748004876125542009-09-18T12:26:19.359-07:002009-09-18T12:26:19.359-07:00Hakika ndugu yangu. Nilifurahia sana kitendo cha m...Hakika ndugu yangu. Nilifurahia sana kitendo cha mama Salma Kikwete kuwa akihutubia wageni wake alikuwa akitumia Kiswahili. Mungu wangu weeee, siku hizi kabadilika nadhani (kaharibika nadhani), simsikii sana, naona anatwanga kimombo tu. LABDA KAENDELEA ZAIDI!!! AMEPIGA HATUA MAMA YETU MWEEEEE!!! maana ukiendelea MTZD unaongea kiingereza!!! Kudadadeki!!!Adamhttps://www.blogger.com/profile/04784485230438493932noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2865033805917591468.post-71155856246654681182009-09-18T12:24:05.448-07:002009-09-18T12:24:05.448-07:00Pengine hatujajua au tunajua ila kutokana na ubish...Pengine hatujajua au tunajua ila kutokana na ubishi wetu tunaendelea
kudhani vya wenzetu ni bora! tutakapoamka tutakuwa tumechelewa mno,better wazungu wanaona tuko juu.

Asifiwe Alinanuswe.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2865033805917591468.post-48512457612352271382009-09-18T00:31:16.015-07:002009-09-18T00:31:16.015-07:00HAKIKA ndugu yangu. Je tusiposimama kukitangaza HA...HAKIKA ndugu yangu. Je tusiposimama kukitangaza HATA MAWE YATASIMAMA??? tehe teheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeAdamhttps://www.blogger.com/profile/04784485230438493932noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2865033805917591468.post-84337837028634700892009-09-17T16:33:17.370-07:002009-09-17T16:33:17.370-07:00Let KiSwahili spread it's wings!Let KiSwahili spread it's wings!Anonymousnoreply@blogger.com