Monday, April 27, 2009
OXFORD: MAMBO NA VIJIMAMBO (odds and ends)
Sanamu ya 'kambaku' ox, ambalo historia yake inabebwa na jina Oxford Mikwara ya washikaji hawa, si bora wangeweka doria ya polisi? au hawataki watu waegeshe magari yao hapa? - police patrol could do better?
Posted by Adam at 1:40 AM 0 comments
Saturday, April 4, 2009
CAMPAIGN AGAINST ARMS TRADE (CAAT) UK
Posted by Adam at 2:53 AM 0 comments
Tuesday, March 31, 2009
UBEPARI UMEFIKA MWISHO? MJADALA
Wanazuoni,
AMANI IWE JUU YENU.
Kama mjuavyo mwisho wa wiki liyopita ulishuhudia, maandamano makubwa jijini London ambapo wanaharakati na wana wa nchi duniani kote waliungana na kuandamana kuwafikishia ujumbe viongozi wa mataifa tajiri 20 duniani watakaokutana jijini hapa baadaye wiki hii.
ujumbe mkubwa ulikuwa WATU KWANZA. KINACHOPASWA KUOKOLEWA NI BINADAMU, SIYO MABENKI!!!
Kama vile MENE MENE TEKELI NA PELESI kwa ubepari, baadhi ya mabango yaliushutumu ubepari moja kwa moja kuwa kiini cha mwanguko/mporomoko wa uchumi duniani na kueleza bayana kwamba ubepari UMESHINDWA!! !
Kujionea baadhi ya picha na ujumbe katika maandamano hayo bofya HAPA. Kwa mjadala zaidi iwapo UBEPARI UMEFIKA MWISHO bofya HAPA (zaidi ya wachangia 5 wametoa maoni yao)
Wasalaam
Lingson
Mtoto Mpole sana
CHANZO: wanazuoni yahoogroups
Posted by Adam at 2:32 PM 2 comments
URGENT PETITION TO KEEP UEL OPEN DURING G20 SUMMIT
TO SIGN FOLLOW THIS LINK:
http://www.petitiononline.com/openUEL/
Dear friends the University of East London (UEL) was supposed to host an alternative summit on April 1st in the context of the upcoming G20 meeting on April 2nd. Following the media and police hype about possible disruptions to the city, the University withdrew its support for the alternative summit. Subsequently, management of the University decided to close down the university all together on April the 1st and 2nd, cancelling lectures and closing the library, effectively trying to turn the university into a wasteland in the very moment when the university should instead be up to the task of hosting critical debate and be a hub of creative energies. As the text of the petition makes clear, this is not just about UEL, but about reclaiming universities and education in these times of crisis.
PLEASE FORWARD WIDELY -- PLEASE SIGN URGENTLY.
SOURCE:wanazuoni yahoo groups
Posted by Adam at 2:08 PM 0 comments
