Pekua/search

Monday, January 9, 2012

Leo (Januari 9) katika Historia yetu - ISIKE MKASIWA ALIJIUA

Leo (Januari 9) katika Historia yetu:
Mwaka 1893 - Shujaa wa Kinyamwezi Isike Mkasiwa, alijiua kukwepa fedheha ya kusalimu amri kwa Wajerumani katika vita ya kukataa kutawaliwa na wageni.
Kufuatilia na kuchangia mjadala kwenye fesibuku tekenya HAPA

Saturday, January 7, 2012

LEO (January 7) KATIKA HISTORIA YETU (our history)

Leo (Januari 7) katika Historia yetu:

Mwaka 1938- Wilaya ya Pangani mkoani Tanga ilizinduliwa

Mwaka 1958 - John Williamson, Mkanada 'aliyegundua' almasi huko Mwadui Shinyanga alifariki dunia na kuzikwa huko huko Mwadui.

KUSOMA Kweny facebook bonyeza HAPA
Au kiunganishi http://www.facebook.com/photo.php?fbid=3052852440994&set=a.1455905638322.64825.1253767086&type=1&theater

Saturday, December 17, 2011

UMASKINI, FAHARI YA SHEREHE NA MICHANGO YETU

NAWAZA TU. NAFIKIRIA TUENDAKO, TULIPO NA TULIKOTOKA:

  • Je tuendelee kuchangia Harusi ilI zifane, ziwe za kifahari?
  • Je hatuwezi kuachana na uharibifu wa hela siku ya harusi badala yake tukawapa maharusi ziwasaidie?
  • Je hatuwezi kuelekeze uchangiaji ktk kuwapa mtaji wahitimu wa vyuo wajiajiri?
Kusoma na kutoa mchango wako kwenye facebook tekenya HAPA

Friday, December 9, 2011

AL SHAABAB, MIKUSANYIKO NA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 TANGU TANGANYIKA ILIPOPATA UHURU

Kamanda KOVA, vipi taarifa za kiinteligensia dhidi ya Al Shaabab mikusanyiko ya kesho tunapokumbuka siku ya TANGANYIKA ilipopata UHURU? Kusoma mijadala kwenye FACEBOOK tekenya HAPA au hii http://www.facebook.com/photo.php?fbid=2842821550353&set=a.1455905638322.64825.1253767086&type=1&theater

Tuesday, December 6, 2011

TANZANIA NCHI NZURI: IPOGOLO IRINGA

Kusoma maoni ya wadau kwenye Facebook tekenya HAPA au kiunganishi kifuatacho
http://www.facebook.com/photo.php?fbid=2031881877368&set=a.1658065612195.95608.1253767086&type=1&theater

SUBSCRIBE- Andika email yako hapa utumiwe habari mpya

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77

Go Back to TOP