Pekua/search

Saturday, June 20, 2009

MWANA MPOLE NA SHINDANO LA UJASIRIAMALI WA KIJAMII

Mtoto mpole sana (upole) awa mmoja wa washindi wa mashindano ya kuandika mchanganuo wa miradi ya 'ujasiriamali wa kijamii'. Kwa habari kamili soma HAPA

2 comments:

Subi Nukta June 20, 2009 at 8:53 AM  

OMG, GREEEEEEEEAT.
This is great Adam!
Congratulations for winning the award mtoto Mpole Sana!
Ninafurahi kusikia habari hii, ni njema na ya kufurahiwa kwa wanamaendeleo. Hongera sana sana sana!
Wo hooo!
CONGRATULATIONS.
Nina imani mchanganuo wako utakuwa wa manufaa kwako binafsi na kwa jamii unayoshughulika nayo. Ushindi wako uwe chachu kwetu wengine kujitahidi katika nyanja mbalimbali za kimaendeleo.
HONGERA SANA Adam L., aka Mtoto Mpole Sana.

Adam June 22, 2009 at 7:01 AM  

Dia dada Subi
Shukrani sana kwa maneno mazuri yenye kutia moyo. Nitaendelea kukomaa mpaka kieleweke!!Nitaendelea kumuhimiza, Adam, wa ukweli aliyesinzia ndani ya nafsi. Namuaminia, akiamka, anaweza kuhamisha milima, ila kumuamsha kazi sana maana anapenda kuzubaa, anapenda mazoea, ana aibu eti!!!

Wasalaam
Mtoto Mpole kabsaaaaaaaaa

SUBSCRIBE- Andika email yako hapa utumiwe habari mpya

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77

Go Back to TOP