YA TUNISIA, MISRI, NA LIBYA- OLE KWA WATANZANIA VING'ANG'ANIZI; HAKIKA HAYATAPITA BURE
Kilianza Tunisia, kikajibu Misri, sasa kimenuka Libya. Upepo huu ni mkali!Unazitisha hata nchi za magharibi.Utavuma bara zima na zaidi!Wenye macho na wafahamu! Vyama vikongwe kama CCM na visome alama za nyakati! Wabunge waliodumu miaka 20, na bado wamo watambue! Wenyeviti wa vyama wa 'maisha' kina Mrema, Lipumba, Mtikila nk nk na wafunguke macho sasa!
Kutoka mtandao wa kijamii wa Face book Lingson Gwankaja kuanzia Februari 20, 2011
Rosca Bugingo Kinanukia tz ukiweka nahaya matatizo ya G'mboto kama wahusika wakijifanya viziwi au vpofu itakula kwao watamsababishia boss wao kuwa mashakani dah,ila jamaa amekonda huyo mpk mapozi yake yamekwisha!!!
Lusajho Mwambipile Kwa sababu hili taifa ni letu wote, kuna haja ya kupokezana ili liweze kusonga mbele, sio kwamba wao ndio bora sana kuliko wengine. Haiwezekani mtu toka ajira yako ya kwanza ukiwa na miaka 23 ni mbunge mpaka kufikia zaidi ya umri wa miaka zaidi ya 60, i.e Mh. Anne Makinda (62) na wengine wengi. Kuna umuhimu wa kuwa na kikomo kwenye hizi nafasi za kisiasa maana watu wanajisahau kana kwamba hii nchi ni ya familia na ukoo wao.
Adam Gwankaja @Rosca, tuendelee kumwombea mhe rais wetu!@ Lusajho, hata sheria ya ukomo wa muda kwa wabunge isipowekwa, yatawakuta ya Misri nk. Hamkani si Shwari tena. Mfano wa jimbo flani huko kwenu,mbunge aliyekuwepo kwa muda wa miaka 15, maendeleo ya...kafifia, yakadunishwaaaaa ile mbaya, wananchi wakakata tamaa, lakini wakaona hakuna mbadala.alipokuja kuingia mtanzania mwingine, haaaaa!! wananchi wakashangaa, kumbe inaleta maana kuwa na mbunge!!!miaka mitano tu ya awali, mambo yakawa yemebadilika sana. tumaini lilirejea. miaka kumi kumi na tano ya ubunge inatosha sana. watu wasigeuze kuwa permanent employment.See More
Linda Madeleka Miaka 15 bado tu mbunge? No ways! Binafsi ningefikiri miaka 10 inatosha - the thing is unapoingia ubunge si unajua kwamba unatakiwa kuwajibika kwa wananchi wako in terms of kuwawakilisha vyema na kutafuta mianya mizuri ya kuwaletea maendele...o wanajimbo?hakupaswi kuwa na eti "muda wa kujifunza"! sasa ukiwa makini from the word GO nina imani miaka 10 utakuwa umelitumikia jimbo ipasavyo - na kingine, ni pale wananchi nao wanapokuwa na mamlaka juu ya ubunge wako kwa maana ya wao kuwa na uwezo wa hata kukufukuza kazi au kukuita jimboni na kukufanyia tathmini ya uwajibikaji wako... hapo ndio patakuwa na raha na maendeleo ya uhakika katika nchi hii!See More
Rosca Bugingo @adam hakuna kumuombea wala nini kaharibu nchi kila ki2 kimepanda bei hali yenyewe imekua ngumu kilakukicha mwana me cna ata hamu yakumuona kabisa wapo wanaoweza ebu 2wape nafasi nao wajaribu! Remember u never knw til ua av tried!! 2siseme nao niwalewale ebu 2wape 2uone, @lusajo ukisemacho nikweli kaka! Uvumilivu uki2iishia 2tafika pabaya!!
Rosca Bugingo Weona yametokea mbagala sasa G'mboto wa2 walewale then wanasema hawawezi kuwajibika kwahyo wanaona wa2waopoteza uhai kwao sawa 2!! No we cnt go that way lazima 2wawajibishe wao wakosalama ukicheka na nyani mabua lazima uvune ha2ko tayari kuwaona sura zao kila cku kwny tv eti bht mbaya, twice??!! No tc enough bora lawama kuliko hasara.
Lusajho Mwambipile Watu uongozi wa kisiasa wanachukulia kama ndo ajira zao za kudumu, ndi maana wanajisahau sana mpaka wanadhani ni zao binafsi wanaziingiza familia zao zote, sanasana ubunge na uongozi wa vyama vya siasa. Kukiwa na time limit itakuwa vema, hii nchi ni yetu sote
Adam Gwankaja Rosca afu argument wanayoadvance ni fallacy! Eti wanasema wanajeshi huwa hawajiuzulu! Wanaacha hoja ya msingi kuwa watz kwa mfano hawataki ajiuzulu uanajeshi! Hawataki ajiuzulu ujenerali!wanaongelea cheo chake cha 'kisiasa' cha u CDF! @Lind...a na Lusajho, maneno mazuri hayo! Na kwakuwa wabadilisha sheria ni wao, wanaweza wasitake kuweka uko! Pinda kama kawaida yake aliwahi kurecite ngonjera kama hii!kwa hiyo tujipange kuwamisri!kuwa tunisia kwa kuandamana majimboni na kushinikiza hata wasichukue fomu! Kina maua daftari hadi wamejimilikisha viti maalum! Tz the biggest political animal farmSee More
Rosca Bugingo @adam dc tym wataachia 2 ha2jaamua hawawezi kushinda nguvu ya umma!! Hatawaziri wao nae anajifanya kiziwi anafikiri 2mepotezea 2nangoja 2 wa2 majonzi yapungue ndo 2lianzishe othrws km wanataka waendelee kubaki in power wa2ue wote ili 2candamane.
Linda Madeleka I fully agree with you - tuwafariji kwanza walioathirika na mabomu, halafu shughuli ianze, inasikitisha namna watu wasivyokuwa na uoga wa Mungu - yule yule aliyewaumba na kuwaachia pumzi mpaka dakika hii.
Rosca Bugingo Linda i blv dat ata ikiwakwakumwaga damu wataachia 2 and our bloodshade wl irrigate our victory serious i tel u 2kicheka nao 2taisha wenye wao wako salama saivi kila m2 anajifanya kaguswa kuuza sura zao 2!!@linda blv we can!!!
Oswald Bankobeza Mwanangu upo juu,unajua nakumbuka enzi zetu mitaa ya Kizwite-tulikuwa tunaamini mbegu haioti bila kuzikwa na kufa ndipo inatoa mazao mengi! So,hakuna aliyezaliwa na Uwezo wa Kuongoza au Kutawala milele. Ni Mungu pekee! LET ALL WHO HAVE EYES SEE AND HEAR WHAT IS GOING ON IN ARAB COUNTRIES. IT'S THE BEST LESSON.
Adam Gwankaja Ha haaaaa Oswald mwenyekiti wangu duu umenikumbusha mbali!umenkumbusha harakati!
Ipyana Mwaipaja Hayo mnayoongea ni point nzuri sana, tujitahidi yaingie katika marekebisho ya katiba mpya. Ubunge isizidi 10 years bwana!!
0 comments:
Post a Comment