MASKINI JK! HATA LA KATIBA MPYA ATAKUWA MDEBWEDOOOOO!!!!
Maskini JK wetu. Kaporwa hata turufu yake muhimu ambayo walau ingemrejesha kwenye chati kwenye nyoyo za watz, yaani kuanzisha na kufanikisha mchakato huru wa kuandika KATIBA MPYA! Hawezi kuwa BABA MDOGO WA TAIFA. Hata kuwa KAKA WA TAIFA hataweza! Pole JK. Pole zetu Watanzania. Adam Gwankaja
Linda Madeleka Kafanyaje tena @ adam?
Muswada unaopelekwa bungeni unasomeka,' The Constitutional Review Act 2011' wengine tulitegemea usomeke, The New Constitution Act 2011'. Kwa mantiki ya jina hilo tu, ni moja kwa moja kwamba UMESHACHAKACHULIWA, kinachopendekezwa kufanywa na ...serikali ya JK sio tulichokitaka. Tunataka katiba mpya. Uandaaji wa katiba mpya ofkoz unahusisha mapitio (review) ya hii 'kuu kuu'. Mchakato/means justifes the end. JK aliahidi, na taarifa zinasema yeye hakuwa na tatizo na uandaaji wa katiba mpya, ila sasa KAPORWA NA CHAMA, NA WAPAMBE! wach litote!!!See More
Na nimefurahi nimeupata na nikaupitia kwa kina zaidi...it's all about SHIT in it.....na sielewi kwa nini ameamua "KULA MANENO YAKE MWENYEWE"....review badala ya new...ni nini hiki?? Na ategemee makubwa tu kutoka kwa umma kwa upuuzi uliokuwe...mo ndani yake....pamoja na kwamba MUSWADA UNAHUSU REVIEW ( aka uchafu na.1 usiokubalika na umma), ndani ya huo muswada ni sumu na uozo: 1. WANANCHI HAWARUHUSIWI KUIPINGA TUME NA MAAMUZI YAKE (hata kama wamechanganya na pumba??) 2. RAHISI ATAPITIA MAPENDEKEZO YALIYOKUSANYWA KUTOKA KWA WANANCHI na KUYACHAMBUA ndipo YAPELEKWE BUNGENI KWA AJILI YA RASIMU YA KATIBA na KUKAMILISHA VIRAKA VYA KATIBA...aka...GWANDA LA JESHI (nini maana ya katiba ya umma??).....amekuwa king'ang'anizi, TUME KUUNDWA NA YEYE..ni nini hiki!!??....TIBA ISIYOTIBU...safari bado ni ndefu.See More
Linda Madeleka Eeh! I have been so busy of late sijaweza hata kufuatilia! If this is the case then TZ'ans we have a long way to go!
Adam Gwankaja @Linda, we endelea kuwa bi zee hivyo hivyo, utashtukia nchi ishachukuliwa huna habari. For ur info, the preseindent is proposed all the power to create and destroy, read here: Power to appoint the commission, to issue ToRs, appoint secretary, receive the report and analysis, to constitute the constituent Assembly without regard to the present Bunge.... mchezo hadi hapo? Haya ni matokeo ya kuendesha nchi kinafiki. walioandika wanataka kumpendezesha rais, enewei, we are here! wacha litote!
Linda Madeleka Hahaha! @ adam kwa kweli u-busy lazima uishe! But its sad hatuna wazalendo nchi hii!
Asifiwe Alinanuswe uzalendo limebaki kwenye makablasha ya maktaba kuukuu tu, nadhani wanataka kufanya trial without any controll, ngoja mwisho ufike,, kila mtu atakapojua kile asichokijua wale watakao jua kuwa heeee tunakuwa kama wajinga watataka kutokuwa wajinga tena, ndipo watasema to heelll with everything in GREEEEEEEEEN
0 comments:
Post a Comment