Pekua/search

Thursday, November 20, 2008

KANISA KUBWA KULIKO YOTE TANZANIA

Kanisa Katoliki KUBWA KULIKO YOTE TANZANIA, na la tatu kwa ukubwa Afrika, lililopo parokia ya SANU, wilaya ya Mbulu mkoani Manyara - Tanzania. Lilijengwa kati ya mwaka 1990 na 2000.
MAELEZO HAYA NI KWA MUJIBU WA , Paroko wa parokia hiyo, Reginald Barre

2 comments:

Subi March 30, 2009 at 6:58 PM  

Weeee, sikufahamu kuwa hili ndilo kanisa kubwa kuliko yote na la tatu kwa ukubwa Afrika, na kwa kweli ni kubwa. Ni imani yangu kuwa na waumini wake wawe na Imani kubwa zaidi ya Kanisa kwa ajili ya utukufu wa Mungu na kwa uanadamu mwema!

Adam March 31, 2009 at 4:29 PM  

Habari ndiyo hiyo dada Subi,
Na kuhusu imani yao, mimi nasema tu, NAAM NA AMINA kwa uliyosema. Na IWE HIVYO KWETU SOTE.

SUBSCRIBE- Andika email yako hapa utumiwe habari mpya

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77

Go Back to TOP