Horace A. Byatt awa Gavana wa Kwanza Mwingereza Tanganyika
Horace Archar Byatt awa Gavana wa Kwanza wa Utawala wa Kiingereza
nchini Tanganyika
Ni leo (Julai 22)
katika Historia Yetu
Hapo Mwaka 1920,
Horace alitawazwa kuwa Gavana wa Kiingereza wa kwanza nchini Tanganyika. Kabla ya
uteuzi huo, hapo Januari 31, 1919, Horace alikuwa ameteuliwa kuwa Mtawala
(Aministrator). Bwana huyu alijiwekea rekodi ya kuwa Mwingereza ambaye alikuwa
akijali maslahi ya Waafrika kitendo ambacho kiliwashtua wakubwa zake na hivyo
mwaka 1924 akahamishiwa kuwa Gavana na Amiri Jeshi Mkuu wa Trinidad and Tobago
hadi hapo 1929.
Jikumbushe Magavana wengine
nane wa Kiingereza waliotawala Tanganyika:
D. C. Cameron (1924 –
1931)
G. S. Symes (1931 –
1933)
H. A. Mac Michael
(1933 – 1938)
M.
A. Young (1938 – 1942)
W.
E. Jackkson (1942 – 1945)
W.
D. Battershill (1945 – 1949)
E.
F. Twining (1949 -1958)
R.
G. Turnbull (1958 – 1961)
0 comments:
Post a Comment