Pekua/search

Wednesday, November 16, 2011

MWALETA UTANI KATIKA SUALA LA MSINGI KAMA KATIBA YA NCHI!!!!?


Tunachekelea mustakabali wa nchi ukifinyangwa na kukanyagwa mbele ya macho yetu!!? Ujana gani huu? Uzalendo wa wapi huu? Tunageuza suala zima la mjadala wa namna katiba mpya itakavyopatikana kuwa mzaha! komedi tena isiyo ujumbe!!!Tunashabikia kama mazuzu utadhani utani wa jadi kama simba na yanga!! Oh Tanzania mama yetu, pole sana!
 





Kusoma michango ya wadau mbali mbali bonyeza HAPA au kiunganishi kifuatacho kuelekea Facebook 
http://www.facebook.com/photo.php?fbid=2699844816024&set=a.1455905638322.64825.1253767086&type=1&theater

Monday, November 14, 2011

WATUMWA WANAPOTOANA MAPOVU BUNGENI

Waziri wa Uchukuzi Omari Nundu AWATAJE WABUNGE WALIOTUMWA (pamoja na waliowatuma) Kupinga muswada wa Markebisho ya Sheria ya Manunuzi ya Umma ili serikali ya Tanzania iwe USED (aka kununua mitambo used); Vema na yeye mwenyewe AWAAMBIE WATANZANIA NI NANI AMEMTUMA KUPIGANIA SERIKALI INUNUE VITU USED.
cheki alivyosema Bungeni Jana:

“Kwa kauli zenu baadhi yenu mnatumwa kupinga ununuzi wa ndege na mabehewa ya treni najua hilo … mashirika binafsi wakinunua ndege na mabehewa mnaona sawa, lakini kwa Serikali hamturuhusu, mnaangalia ajali tu tukinunua,”


KUSOMA Mjadala mzima bonyeza HAPA au kiunganishi hiki
http://www.facebook.com/photo.php?fbid=2674355858816&set=a.1455905638322.64825.1253767086&type=1&theater

Friday, November 11, 2011

SIKU SERIKALI ITAKAPOKUWA CHAKAVU ITANUNUA MITAMBO USED NA KUUZA CHUMA CHAKAVU



"Pole pooooole, taratiiiiibu Serikali ya Tanzania inaanza kuwa CHAKAVU!! Muswada wa kurekebisha sheria ya manunuzi ya umma ukipita, 'kila kitu' kitakuwa USED!! Ama kweli watz tunapenda vitu used!!!"
KUSOMA MJADALA KUHUSU MUSWADA WA KUREKEBISHA SHERIA YA MANUNUZI YA UMMA BONYEZA KIUNGANISHI KIFUATACHO/To read discussion on the 'Bill to amend Public Procurement Act to allow the government to buy used stuff click the following link to FACEBOOK


http://www.facebook.com/photo.php?fbid=2669237970872&set=a.1455905638322.64825.1253767086&type=1&theater

Sunday, November 6, 2011

Hussein Hamis kapwache- SHUJAA WA MWEZI OKTOBA - My October Hero

Hussein Hamis kapwache

Village Executive Officer -VEO- Asante Nyerere Village, in Kasulu District Council, Kigoma Tanzania.

Hussein in his office at Asante Nyerere Village, Kasulu, Kigoma

  • He tries his best to share information with villagers as required
  • Mobilizes wananchi in self help projects (construction of a dispensary as an example)
  • Follows up on the 'lazy ones'
  • Unlike many VEOs, he supported village animators in demanding more transparency and participatory approaches in development projects in his village form the district council officials (his employer)
  • He is simply anti uchakachuzi (anti corruption)
Hussein (R) n Adam (upole) at Dodoma Hotel for Annual PETS Conference October 2011

Wednesday, November 2, 2011

WHEN A REGIONAL COMMISSIONER ORDERS ARREST, TRIAL OF PREGNANT SCHOOL GIRLS

Je hii ni ulevi wa madaraka au wendawazimu wa kawaida tu? Ni utafiti gani uliomwongoza bwana mkubwa huyu kuwa hiyo ndiyo njia bora ya kukomesha mimba? Je chanzo cha hali hiyo ni kipi?  Adhabu kwa mabinti hawa itakuwaje? Viboko kwenye makalio? kifungo jela au faini? Tatizo lipo na ni baya, lakini halitakwisha kwa majibu mepesi ya kufurahisha genge kama anayotoa bwamkubwa kandoro!!!


RC orders arrest, trial of pregnant schoolgirls


By The guardian reporter

1st November 2011
Mbeya Regional Commissioner Abbas KandoroMbeya Regional Commissioner Abbas Kandoro has ordered that girl students who will become pregnant should also be arrested and charged in a court of law.



Kandoro issued the order when he visited Bujomde Secondary School in Kyela district to launch three science laboratories constructed at the school with funds from the Tanzania Social Action Fund and people's contributions.



The order wa prompted by the RC's dismay upon hearing a report from the school's headmaster that the school was facing a big problem of students dropping out of school due to pregnancy.



According to the report, five students dropped from school last year due to pregnancy and already this year two form one girls had met the same fate.



Kandoro inquired whether there was anyone who had been taken to court due to pregnancy, and he was told that there was none.



"I think the practice of arresting only those who make girls pregnant is not enough, we now need to also arrest those who get pregnant, we'll only leave out someone who was raped, not someone who did it voluntarily," said the RC.



He instructed all district authorities in the region to draft a by-law to make it possible to arrest schoolgirls who become pregnant.



"We want to put an end to this trend, and the girls must cooperate and name those who have impregnated them," said Kandoro.



Kandoro further sternly warned parents, guardians and teachers who protect those who impregnate schoolgirls, saying they too would be taken to court.



Kandoro was on a three-day tour of Kyela and Ileje districts for the purpose of introducing himself to the people after he was recently appointed Mbeya regional commissioner by President Jakaya Kikwete.



SOURCE: THE GUARDIAN
http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=34955

SUBSCRIBE- Andika email yako hapa utumiwe habari mpya

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77

Go Back to TOP