Pekua/search

Saturday, June 20, 2009

MWANA MPOLE NA SHINDANO LA UJASIRIAMALI WA KIJAMII

Mtoto mpole sana (upole) awa mmoja wa washindi wa mashindano ya kuandika mchanganuo wa miradi ya 'ujasiriamali wa kijamii'. Kwa habari kamili soma HAPA

Saturday, June 6, 2009

TUJADILI LUGHA YA KUFUNDISHIA TANZANIA

Tangazo la Hakielimu gonga hapa kuhusu lugha ya kufundishia, kila ninapolisikiliza, linasema mengi kwa muda mfupi sana.Binafsi nalikubali sana kwa uzoefu wangu kama mwanafunzi na kama mwalimu pia. Tunakaririshwa tunaenda kukaririsha. Na kwa mantiki, mchakato wa kujifunza na kufundisha hapa kwetu unahusu zaidi kufasiri kutoka Kiingereza kuwa kiswahili. Suala hilo linakwamisha sana kujengeka kwa uelewa unaoweza kuchochea na kurahisisha uhawilishaji wa maarifa yanayopatikana darasani kwenye muktadha mwingine. JE TUTAFIKA? TUENDELEE NA ZEE, SAMBADE GESHI,.. GLOBALI WOMING....???UNASEMAJE? TOA MAONI

SUBSCRIBE- Andika email yako hapa utumiwe habari mpya

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77

Go Back to TOP