EDWARD TWINING AWA GAVANA WA TANGANYIKA- LEO KATIKA HISTORIA
Twining alipotembelea Kondoa June 23rd 1950 |
Jumla ya Magavana Tisa wa Kiingereza walitawala nji hii tangu 1918 hadi Uhuru ulipopatikana. Wengine ni pamoja na:
H. A. Byatt
D.C. Cameron
G.S. Symes
H.A. Mac Michael
M.A. Young
W.E. Jackson
W.D. Battershill
R.G. Turnbul (1958-1961)
Magavana wa Kijerumani walikuwa:
Julius Von soden (1891-1893) huyu ndiye aliyehamisha makao makuu ya serikali ya kijerumani kutoka Tabora kwenda Dar es salaam. Makao makuu ya kwanza yalikuwa Bagamoyo (1884) kisha Tabora (1890).
Wakitumbuiza katika ziara ya gavana huko Kondoa. |
H. Von Wissman (1895- 1896)
E. Von Libert (1896-1901)
A. Von Gotzen (1901-1906)
A.F. Von Schnee (1912-1918)
0 comments:
Post a Comment