WOMEN'S DAY: IS IT MEANINGFUL TO YOU? HAVE YOU DONE MUCH TO CAUSE CHANGE?
Siku ya wanawake duniani bibi huyu katikati ya jiji la mbeya akitokea mlima loleza kuokota kuni. Ilibandikwa kwenye ukuta wa Facebook wa Joseph Mwaisango. Picha zimeondoshwa.
March 8, 2011
Rehema Simba Mwee mwee! Ndaga bibi wa watu ! hata hajui km leo ndo cku yetu ya kujidai. Lol !
Leah Mafwenga mhhh bibi mjasiriamli kweli huyu, nimekubali wanawake tunawezaq toka zamani umeri wa bibi huyo ukimkuta mumewe hatoki hata ndani
Peter Edson pole sana mama, ipo siku mungu atafuta machozi
Judith Kyejo Maskn bibi wa watu
Rehema Simba Bibi ikolonda ehela tu hn ckuku wala nini. Lol !
Adam Gwankaja Umeadhimisha vema cku hii@Joseph! Ahsante na pongezi sana!
Joseph Mwaisango asante nashukuru
Yohana K Mwakisole Jamani sioni sababu ya watu kufurahia hii hali ya bibi hapa huku tukifurahia fikra za wakoloni eti siku ya wamama, ni aibu tena iliyokithiri @rehema think at it tena na tena, then come up with other comment.
Max Mushi Wakina mama wetu wana hali ngumu,hii inaonesha bibi akiwa na mzigo mzito pembeni yake anapita binti(sista duu ) bila kumsaidia bibi mzigo .Ndio maadili ya Tanzania yetu kwa leo .Zamani zile bibi alikuwa wa jamii nzima ilhali mtoto pia .bibi alihitaji kusaidiwa mzigo
Geoffrey George Annaniah Duh mie nilipishana nae NMB pale alafu yupo strong anakaa jakaranda pale
Manka Raymond Mmwee bibi yetu hakuna anaekuonea huruma jipe moyo
Damian Lupogo enzi za mwl huyo dada nyuma yake ndo angekua amebeba mzigo lakin vijana wa siku iz wiziiiii mtupuuuuuuuuuu!!!
Bau Chizza safi huyo anadumisha nini maana kuwa mama
Hamza Kiliwasha its my home village
@Katika fikra zake kabeba mawazo mazito ya kujua nini anakula leo na hajui kesho atakula nini,kichwani amebeba mzigo huo wa kuni ambao hajui hata huyo mtejha atampataje na akimpata atanunua hizo kuni au atakopa hadi auze pombe ya kienyeji ...atakayouza ambayo pia wanunuzi wanakuja kunywa wakilewa wanaondoka bila kulipa!pia bibi huyu huenda ana mzigo mwingine nyumbani wa vijukuu ambavyo wazazi wao aidha wamevitelekeza hapo kwa bibi na wao wakihaha mitaani au wameshatangulia mbele ya haki kutokana na balaa lililoikumba dunia la ugonjwa wa UKIMWI ambao asilimia kubwa huua watu maskini.
Inawezsekana bibi huyu umri wake c wa kuitwa bibi bali kutokana na shida zilizomwandama amefikia hatua ya kuwa hivi alivyo, iwapo mwanamke huyu angetengenezewa maisha wakati wa ujana wake ikiwa ni pamoja na kupata elimu bora na kupata huduma muhimu zinazostahiki hata kwa kupata fursa ya kuwasomesha wanawe asingweza kubaki na vijukuu na watoto kuhaha mijini kujiuza au wengine kuingia katika kazi za sulubu na hata baadhi yao kuamua kujiingiza katika kazi za sulubu...JOSE bibi huyu ni mmoja kati ya bibi zetu wengi tuliowaacha huko vjjn ambao tunasahau hata kuwapelekea mfuko wa sukari,kubazi la kutembelea, shuka ya kujifunika wakati wa baridi.
Akina bibi hawa ndio hao hao wanaodanganywa na wanasiasa kuwa wataishi maisha bora na kupewa vijikanga na vijitenge ili watoe kura kwa watu wazandiki wasiojali maisha ya watu wa aina hii hapa nchini....INAUMIZA sana cjui bibi yangu yukoje hali yake huko NANGURUKURU!!!See More
Inawezsekana bibi huyu umri wake c wa kuitwa bibi bali kutokana na shida zilizomwandama amefikia hatua ya kuwa hivi alivyo, iwapo mwanamke huyu angetengenezewa maisha wakati wa ujana wake ikiwa ni pamoja na kupata elimu bora na kupata huduma muhimu zinazostahiki hata kwa kupata fursa ya kuwasomesha wanawe asingweza kubaki na vijukuu na watoto kuhaha mijini kujiuza au wengine kuingia katika kazi za sulubu na hata baadhi yao kuamua kujiingiza katika kazi za sulubu...JOSE bibi huyu ni mmoja kati ya bibi zetu wengi tuliowaacha huko vjjn ambao tunasahau hata kuwapelekea mfuko wa sukari,kubazi la kutembelea, shuka ya kujifunika wakati wa baridi.
Akina bibi hawa ndio hao hao wanaodanganywa na wanasiasa kuwa wataishi maisha bora na kupewa vijikanga na vijitenge ili watoe kura kwa watu wazandiki wasiojali maisha ya watu wa aina hii hapa nchini....INAUMIZA sana cjui bibi yangu yukoje hali yake huko NANGURUKURU!!!See More
Hebu mwangalieni huyu bibi kwa makini!!! inawezekana akabisa hivyo vitenge na khanga alizojitanda ndio mashuka yake ya kujifunika na pia inawezekana kabisa mgongoni kabeba mboga aliyochuma njiani anavyotoka huko maporini ili akifika tu nyum...bani awacheshie wajukuu chukuchuku wale wanywe maji walale hadi kesho asubuhi waanze kusaka tonge kwa mbinu nyingine..@Jose ...next tyme akina mama kama hawa ni muhimu kujua hata wanaishi vp...kwa kweli ukirejesha kumbukumbu kidogo tu nyuma kujua akina mama wanaokuhusu wanaishi vp unaweza kububujikwa na machozi@Leah huyu mama wala si mjasiriamali dhiki ndo inamtuma kufanya hivi hebu jaribu wewe kuwa mjasiriliamali kama huyu bibi!!!!@ Max...huyu unayemwita Cster du hebu mwangalie vzr usoni unaweza kusoma hisia zake hata bila kuambiwa!!! anataharuki na ndani ya moyo wake anaumia anashindwa afanye nini akijiangalia alivyo yeye huenda naye kawaacha wajukuu kwa mama yake anayefanana na huyu na ameamua kuhaha mitaani kutafuta chochote!!! hapo inamuuma lkn hawezi kufanya lolote.
@Annaniah... unajua hadi anapoishi huyu bimkubwa umefanya jitihada gani kuokoa jahazi hata kwa kujua anaishi ktk mazingira gani na kwa nini anafanya kazi hizi za sulubu?
@Chiza...wala hadumishi hicho unachoita kuwa mama, mama hatakiwi kuwa hivi angekuwa na mtoto kama wewe cdhani kama ungekubali mama yako aishi hivi uso wako ungeuweka wapi hapa duniani kumuacha mama yako akihaha hivi na wewe ungali unavuta hewa ya mwenyezi mungu bila hata kujua bili yake ikoje!See More
@Annaniah... unajua hadi anapoishi huyu bimkubwa umefanya jitihada gani kuokoa jahazi hata kwa kujua anaishi ktk mazingira gani na kwa nini anafanya kazi hizi za sulubu?
@Chiza...wala hadumishi hicho unachoita kuwa mama, mama hatakiwi kuwa hivi angekuwa na mtoto kama wewe cdhani kama ungekubali mama yako aishi hivi uso wako ungeuweka wapi hapa duniani kumuacha mama yako akihaha hivi na wewe ungali unavuta hewa ya mwenyezi mungu bila hata kujua bili yake ikoje!See More
Hubert Mtui Huyu sii wa kijijini ni wa mjini wa kijijini ni zaidi
Veronika Kihongo Kijiji ndio usiseme ndugu yangu, wanaishi kiubishi
Elias Loidiso afadhali hata huyo ana mahali pa kuokota kuni. sehemu nyingine akina bibi kama hao wanalala njaa kwa sababu hawana mahali pa kuokota kuni kwa mapori yamechukuliwa na mafisadi au ni ya serikali na watu wamepigwa marufuku kuokota kuni na hakuna nishati mbadala
Adam Gwankaja umeweka angalizo muhimu sana kijana@Elias. imenikumbusha kiongozi aliyelalamikia watu wake kukosa viatu, kumbe hata miguu hawana!!!
Last Wenger Lingson ...DEAR GWANKAJA! I've been passing through posts of different fb users, but YOURS ARE some of the few EXCEPTIONAL.....you try the BEST to post something touching, and concerning our affairs!! I officially congratulate you for that bruh!! carry with that race. UMEKUWA MSOMI MWANAHARAKATI wa UKWELI!! little SHITS much SMASH HITS!!
Adam Gwankaja Ahsante kwa kompulimenti@Last! Pamoja kabisa! U too are a great head n mind! Keep it up!
Rashid Mkwinda @Last wenger... umenena kwa lugha mpya! hapa ndo umezungumza lugha gani Kiebrania,Kichina ,Kifaransa au Kibunge bunge!! maana wabunge wetu wana desturi kweli ya kuchanganya lugha hata mahala pasipo stahili kufanya hivyo!!!
Last Wenger Lingson ........hahahaaaaa!!! ni ukuwadi wa mambo ya kigeni kaka!! Tunajifanya haiendi bila msisitizo ya kuchanganya lugha!! Lakini mpaka hapo umenipeleka shule kaka......... wakati ujao nitakuwa wa kueleweka zaidi. Asante. @Rashid
Rashid Mkwinda @Last Wenger....Tehe tehe tehe tehe tehe tehe...ucjali kamanda...shukrani!!!!
Adam Gwankaja @Last n Rashid, hamna haja kujisumbua ati! msikodolee macho kidole mkioneshwa mwezi! Utazameni mwezi!!! Ujumbe ulishafika tena kamili!
Raphael Mwakapalila inasikitisha sana sijui nani alaumiwe kwa hali hii kwani haya ni mateso
Adam Gwankaja @Raphael, naam inasikitisha lkn umeambiwa wengine hata pa kuokota hizo kuni hapapo! Lakn pia sijui kama lawame peke yake zitasaidia! Labda tuanze kwa kujiuliza tufanye nini? Labda kila mmoja atimize wajibu wake! Je twawatupia jicho mama na bibi zetu? Baba na babu zetu? Maana twaweza kuwa ndiyo hifadhi yao kijamii kwa kichache tulicho nacho! Halafu tuwaze kuhusu wale wasio na watoto ama wajukuu! Hatua ifuatayo tutimize wajibu wetu kwenye kazi tulizojaaliwa kuzifanya!
Siku ya wanawake ina maana gani kwako?
Ambwene Mwasongwe Mwasongwe Kumpa nafasi mwanamke ya kuonyesha uwezo wake na majukumu aliyopewa na Mungu kuyatimiza duniani.
Rosemery Paul Mushi mimi kama mwanamke natakiwa kufuata mjukumu yangu .wanawake 2naweza
Rosemery Paul Mushi ndio mungu aliona adamu hawezi kuwa peke yake ndio akamuumba hawa
Adam Gwankaja @Ambwene na @Rosie, ni naam na amina mlonena!
Ambwene Mwasongwe Mwasongwe Rose mkiamua mnaweza msisubiri kuwezeshwa.
Rosemery Paul Mushi ni kweli hatusubiri kuwezeshwa
Steve Mwambapa Kwa hali ya kawaida mwanaume ni m2 muhm sn,katik kuonyesha hilo Mungu alimkabidh Adam bustan ya eden,lakin akampa msaidiz,ambaye badae kamletea matatiz mengi,na adam alijuta kupewa msaidiz,Mungu akatoa speech,akasema kuanzia leo Hawa/mwanamke utatawaliwa na mwanaume,huyu ni Mung alisema!so inamana wanawake wanapo taka nusu kwa nusu itawezekana??
Adam Gwankaja @Steve, ahsante kwa mchango wako amba ni nukuu sahihi kabisa toka bibliani! lkn kumbuka Mungu haundi baraza la mawaziri yeye mwenyewe moja kwa moja!hachagui spika na Hachagui wabunge moja kwa moja kwa mfano!hizi ni taratibu walizovuviwa wanadamu kuziweka zisimamie ustawi wao kwa utukufu wake mungu! Kwa hiyo naona ni sahihi kabisa wanawake wnapodai nusu kwa nusu alimuradi wanao ule uwezo unaotakiwa kudeliver! Wasipewa au kunyimwa nafasi vile tu wao ni wanawake!
Yohana K Mwakisole I have learnt that, woman came out from man's rib, not from the feet to be sepped on, not from the head to be superior, but from his side to be equal under the arm to be protected and at th heart's side to be loved.
Sikujua kama ni siku ya wanawake ila nimejikuta at the end nimemnunulia wifey zawadi aliyoipenda.
Nadhani siku ya wanawake ni njema kwao sana tu ila wasizidishe sukari kwenye mboga maana seems wanataka uhuru zaidi ya uhuru. Wakumbuke kwamba... man hatobeba ujauzito heheheheSee More
Nadhani siku ya wanawake ni njema kwao sana tu ila wasizidishe sukari kwenye mboga maana seems wanataka uhuru zaidi ya uhuru. Wakumbuke kwamba... man hatobeba ujauzito heheheheSee More
Oswald Bankobeza BRO;NADHANI TULIOOA ITUKUMBUSHE KUWAPA FURSA YA KUONYESHA KWELI USAIDIZI WAO KWETU.KITU KINACHONIFURAHISHA NI KWAMBA MOST OF THEM ARE FIRM IN DECISION,FOCUSED,BEST ADVISORS AND SO MUCH MORE-GIVE THEM OPPORTUNITY