UMASKINI, FAHARI YA SHEREHE NA MICHANGO YETU
NAWAZA TU. NAFIKIRIA TUENDAKO, TULIPO NA TULIKOTOKA:
- Je tuendelee kuchangia Harusi ilI zifane, ziwe za kifahari?
- Je hatuwezi kuachana na uharibifu wa hela siku ya harusi badala yake tukawapa maharusi ziwasaidie?
- Je hatuwezi kuelekeze uchangiaji ktk kuwapa mtaji wahitimu wa vyuo wajiajiri?