Pekua/search

Wednesday, September 17, 2008

KWANINI BANGO HILI LIMETOBOLEWA????

Bango hili lililokutwa eneo la Shoprite- Arusha likiwa limetobolewa matobo kibao. Na ni kawaida hivi sasa nchini kote mambango yanayotundikwa kutobolewa, NI KWANINI??? Naulisa!!!!!!!!!!!!!!!

1 comments:

Mapi@Lund October 3, 2008 at 12:59 AM  

Mkuu sio mabango yote hubomolewa,
ukichunguza kwa makini ni hayo matangazo ya kitambaa ndio hutobolewa na hutobolewa kwa makusudi na hao hao wanayoyaweka kwa ajili ya kuruhusu upepo kupita wakati unapovuma ili usilibebe hilo bango. chukua mfano mdogo wa jahazi linavyoweza kusafirishwa kwa nguvu ya upepo kwa kutumia lile kama shuka kubwa ni mfano tu unaoendana.

SUBSCRIBE- Andika email yako hapa utumiwe habari mpya

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77

Go Back to TOP