Pekua/search

Wednesday, November 5, 2008

NAUNGANA NA JOHN McCain

"Mbogela Jackson"
Add sender to Contacts
To:
"wanazuoni" wanazuoni@yahoogroups.com

Komradi Tumepuuzwa Kiasi cha Kutosha
Tumedharauliwa kiasi cha kutosha
Unyonge wetu ndio uliotufanya
Tupuuzwe na kudharauliwa
Lakini sasa basi na Tuseme
Nia Tunayo
Sababu Tunayo
Uwezo Tunao
Tunahitaji Juhudi na Maarifa,
Maslahi ya Taifa Mbele

Nimeipenda Hotuba ya McCain
Naungana nayeGod Bless America
Mungu Ibariki Tanzania

Jackson Mbogela
Haarweg 95 – 3166709
PT Wageningen
The Netherlands
Cell: +316 43 63 73 73
Tz: +255 787 410 315

Sauti ya Nyika PIUMA WEBSITE PIUMA, IKONDA & TANWAT

Change does not roll in on the wheels of inevitability, but comes through continuous struggle.
Martin Luther King, Jr.

To: wanazuoni@yahoogrou ps.com
From: lingsadam@yahoo. co.uk
Date: Wed, 5 Nov 2008 06:01:24 +0000

Subject: [wanazuoni] NAUNGANA NA JOHN MacCAIN

AMANI IWE NANYI.

Napenda kuungana na MacCain na wote wanaomtakia mema Sn. Obama kwa USHINDI.
Nampongeza OBAMA, si kwa vile ni mweusi, maana sipendi kuwa mbaguzi, na kwa vile kachaguliwa asimamie maslah ya Wamarekani, si Weusi;

Nampongeza si kwa vile sikuzipenda sana siasa za Bush na chama chake, kwani najua Wamarekani hawana urafiki wa kudumu, hata kuku, paka, au njiwa angepewa urais wa nchi hiyo angetetea maslah ya nchi yake;

Nampongeza Sen. OBAMA kwa vile amezidi kuudhihirishia ulimwengu kwamba MABADILIKO YANAWEZEKANA. Ushindi wake umethibitisha kwamba USA, inawezekana bila mtu mwenye rangi nyeupe. Amethibitisha kuwa Wamarekani WANAWEZA kumchagua mtu bila kujali sana rangi zao. Na kwa uthibitisho huo ni DHAHIRI KWAMBA HATA:

AFRIKA bila VITA inawezekana,
AFRIKA bila UTEGEMEZI, INAWEZEKANA,
TANZANIA bila umaskini, INAWEZEKANA,
TANZANIA bila RUSHWA, INAWEZEKANA,
TANZANIA bila CCM, INAWEZEKANA,
TANZANIA bila JK, INAWEZEKANA,
CCM bila MAKAMBA, INAWEZEKANA.

NI WATU KUWEKA NIA TU BAASI!!!

Wasalaam,
ADAM, L

0 comments:

SUBSCRIBE- Andika email yako hapa utumiwe habari mpya

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77

Go Back to TOP