Pekua/search

Monday, June 18, 2012

Siku Shujaa MKWAWA wa Wahehe alipojiua

Leo (Juni 19) katika Historia Yetu.

Mwaka 1897, Chifu Mkwawa wa Wahehe huko Iringa, kuliko kusalimu amri kwa Wajerumani alijiua mwenyewe. Ikumbukwe kwamba vita kati ya Wahehe na Wajerumani ilikuwa kali na ilipiganwa kwa miaka takribani saba.

Shujaa Mkwawa.

Emil Von Zelewski kamanda wa jeshi la Jeremani aliyeuawa na jeshi la Wahehe.
Jeshi la Wahehe. Sijui moyo wa kujiamini wa mwafrika ulipotelea wapi?
Mstari wa mbele/uwanja wa mapambano vita ya Wahehe wakilinda himaya yao.

0 comments:

SUBSCRIBE- Andika email yako hapa utumiwe habari mpya

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77

Go Back to TOP