AJALI - UZEMBE NA MAZOEA VITATUMALIZA TANZANIA!!!
Hii imetokea mchana wa leo Julai 24 barabara inayounganisha kitongoji Ilboru na barabara kuu ya Arusha - Moshi, mjini Arusha baada ya madereva mawili waliokuwa wakiendesha kwa kasi kugongana uso kwa uso. Baada ya kugongana kila gari likaelekea upande wake. Almanusra madereva hao wapoteze maisha yao na ya watanzania wengine.
Barabara hiyo hairuhusu kabisa mwendo mkali kutokana na udogo wake na wingi wa watumiaji wa barabara hiyo
1 comments:
Adam, pole kwa msiba uliokukuta. Tupo pamoja katika sala
Post a Comment