Chanzo cha Ubovu wa Elimu ya siku hizi ni ‘Ubora' wa Elimu ya Zamani?
Chanzo cha Ubovu wa Elimu ya siku hizi ni ‘Ubora' wa Elimu ya Zamani?
Picha imebebwa kutoka http://philosophyforchange.wordpress.com/2010/09/29/unlearning-in-crisis-and-change/ |
Linapokuja suala la ubovu wa elimu, sio kuporomoka kwa kiwango
cha ubora wa elimu nchini Tanzania hapana shaka utasikia elimu ya zamani
ilikuwa bora elimu ya siku hizi hamna kitu! Hata suala ;la malezi utasikia watoto
wa siku hizi wameharibika. Hii imekaaje? Zamani ni lini? Waliosoma vizuri
zamani wako wapi hivi sasa au walikuwa wapi hadi elimu ya siku hizi imekuwa
mbaya? Gwankaja anajiuliza kwenye facebook hebu fuatana naye kuitafakari
nadharia ya KUYAKIUKA ULIYOJIFUNZA ILI UJIFUNZE MAPYA...
HIVI WASIMAMIZI WA ELIMU YA SIKU HIZI WALISOMA LINI?- ZAMANI!!!
We need to Unlearn
more than learn..au basi We need to Learn to Unlearn so as we can Learn better.
0 comments:
Post a Comment