WARIOBA NDANI YA SULLIVAN: ALIWAPASHA WAWEKWEZAJI
Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba akiwa kwenye mjadala ukumbi wa Tausi, siku ya Kwanza ya Mkutano wa Sullivan. Warioba aliwapasha wawekezaji wa kigeni kuwa walikuwa hawajatimiza ipasavyo wajibu wao wa kijamii (CSR) licha ya kuwa wamekuwa wakidai kupatiwa vivutio viiiiingi (ambavyo hata wawekezaji wa ndani hawapewe, ikiwemo likizo ya kodi).Maneno yalinoga!!!!!
0 comments:
Post a Comment