Pekua/search

Friday, June 6, 2008

MAMBO YA SULLIVAN

Neema ya Mkutano wa Sullivan pengine haikuishia kwa wazito tu. Jamaa huyu alikutwa siku ya Jumamosi May 30, nyuma ya hoteli ya Pallsons eneo la friends corner mjini arusha, akiendelea kuandika bango. Alikataa kutushirikisha alivuta sh'ngapi.

0 comments:

SUBSCRIBE- Andika email yako hapa utumiwe habari mpya

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77

Go Back to TOP