THAMANI YA MAMA!!
Mkazi wa Kijiji cha Kumhasha wilayani Kibondo.
Mama huyu sawa na mama wengi nchini, alipohudhuria
mkutano wa hadhara kijijini hapo Desemba 5,2008
sambamba na kuwahudumia watoto wake wawili.
Mkutano huo ulihusisha kutambulisha kwa jamii Utaratibu wa
Wananchi Kufuatilia Matumizi ya Raslimali za umma- PETS. Semina ya
waraghbishi iliyotangulia mkutano huo iliandaliwa shirika la TCRS na kuendeshwa
na wawezeshaji kutoka shirika la HAKIKAZI CATALYST la mkoani Arusha.
uliofanywa na shirika la TCRS.
0 comments:
Post a Comment