Pekua/search

Wednesday, January 14, 2009

BENDERA YETU KATIKATI YA MAREKANI NA UINGEREZA KWENYE JENGO LA UMOJA WA MATAIFA, UCHUMI WETU NA USTAWI WETU, MKIANI KWA MATAIFA KARIBU YOTE ULIMWENGUN


INGEKUWA VP KAMA TANZANIA INGEKUWA IMEJIPANGA KIMAENDELEO SAWA NA NCHI INAZOFUATANA NAZO KWA MFUATANO WA MAJINA KATIKA KIINGEREZA??:
1. UNITED KINGDOM
2. UNITED REPUBLIC OF TZ
3.UNITED STATES
Posted by Picasa

1 comments:

Adfam Foya January 14, 2009 at 10:29 PM  

Adam
Kuwa katika hiyo nafasi kimaendeleo, kwa mwenendo wa sasa ni mbali na ndoto.
Kama hapa Afrika na Afrika Mshariki ni kazi ndio huku ulimwngu wa kwanza?
Pakuanzi labda ni kuhakikisha ile mipango na malengo mazuri sana ambayo ipo kwenye makaratasi inafikiwa.

Wajina
Adam Jackson Foya

SUBSCRIBE- Andika email yako hapa utumiwe habari mpya

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77

Go Back to TOP