BAJAJI JIJINI LONDON - WATU KWA RAHA ZAO!!
Transport and transportation in central london is just diverse!! Buses, trains, tubes, bicycles na hizi bajaji hazijaachwa nyuma!!! In Dar es Salaam, there is an increased concerns against the bajaji - zinasababisha ajali, mara oo wenye taksi wanaona wanazibiwa. sasa tufanyeje? Mtwara bajaji ni maarufu na hakuna malalamiko, kunani Dar?
0 comments:
Post a Comment