> CCM Yakemea viongozi wenye kujihusisha na vitendo vya rushwa pamoja na
kukandamiza watu.
" Kwa mujibu wa ibara ya 16 inamtaja nani kiongozi, maana yake...
9 hours ago
"Moto mkubwa huanza kwa cheche" Alhaj Ali Hassan Mwinyi.
Why we, in the third world like Tanzania dont optimally use bicycles for transport? weather? infrastructure? mentality?
Posted by Adam at 6:59 AM
© Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77
Go Back to TOP
3 comments:
Sasa hapo unatambuaje ya kwako na ya mwenzio? ama ni ana ana anado tu? ama vipi hamna wezi hivyo poa tu... Nadhani kila mtu ana kufuli lake duh, lazima uwe na kijitabu cha kuandika ulikopaki ili uweze kukumbuka.
Fikiria umefika hapo asubuhi ukakuta baiskeli tatu halafu unarudi saa saba unakuta utitiri huo... mwe. ntatembea kwa mguu tu.
Africans especially those who live in town they think bicycles are for the people who live in rural areas.Sometimes in urban areas people are afraid to ride bicycles because there is a lot of cars.Bicycle riders are not protected and secured
Subi na Mdasenga, thanks for ur interesting comments. they are both challenging.Unawezaje kuitambua kuwa hiyo ndiyo yako? Lakini mbona magari twayatambua?It is probably a matter of changing the mind set. Mbona watoto wanaoshiriki kwenye halaiki uwanja wa taifa hhawapotei?
As for Mdasenga, it is true huku kwetu bongo tunaona basikweli ni kwaajili ya wakulima huko shamba. this in fact is what had made me take those photos in Oxford, an academic town!!!
Regarding kuwepo kwa magari mengi mjini nakubaliana na wewe, lakini je hudhani pia kwamba kutokuwepo miundombinu ya kutumia basikweli, kunafanya kila mtu afanye ka EPA kake ili awe na usafiri wake na hivyo kufurisha barabara kwa mascrepa ya Japani!!!? dont you think the use of basikweli, can curb the traffic jam challenges in big town like dsm?
TWENDELEE KUJADILI
Post a Comment