Pekua/search

Wednesday, July 8, 2009

TUJADILI HALI MBAYA YA VYUO VIKUU VYETU

Kufuatilia mjadala wa UNIVERSITY EDUCATION IN RUIN katika ulingo wa kundi la yahoo la Wanazuoni, bonyeza hapa . Soma, changia maoni yako. Jumuika

1 comments:

Unknown July 21, 2009 at 1:51 AM  

Tatizo sio wingi wa vyuo wala upungufu wa walimu katika vyuo bali ni aina ya watu tulionao hasa viongozi wa serikali.Vyuo vingi vya serikali vina matatizo mengi sana tena ni matatizo sugu kuanzia kwa wanaofundisha hadi kwa wanaofundishwa.Wanaofundisha wengi wameajiliwa kwa kigezo cha GPA HIYO HAIJALISHI kama alidesa,alideseshwa au alikuwa na uwezo mzuri wa kukariri,what matters is GPA.
Hali mbaya katika vyuo vyetu inasababishwa na mgongano wa kimaslahi.Ni maprofesa wangapi wameacha kufundisha na kuingia kwenye siasa?Ni maprofesa wangapi wapo nje ya nchi wakifundisha?Ni wangapi wanaotoa course outline na kuingia lecture mara mbili tu kwa semester?Ni wangapi wamufuta kabisa seminar?
Kwa wanaofundishwa wengi waanachofanya ni kujitahidi kudesa ilimradi asikamatwe.Wengi hawana shida ya kuelewa au kuwa mweledi wa fani yake bali kufaulu mtihani.
Ukosefu wa vifaa katika vyuo ni tatizo sugu.Komputa zilizopo katika vitivo hazina uwiano na idadi ya wanafunzi.Vitabu vilivyopo havitoshi,madarasa ndio balaa!mwanafunzi wa chuo kikuu anakaa chini ardhini tena kwenye ngazi tumswalie mtume jamani!KILA MTU HALIMHUSU

SUBSCRIBE- Andika email yako hapa utumiwe habari mpya

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77

Go Back to TOP