Pekua/search

Saturday, April 24, 2010

kitoweo!!!

Jamaa akitokea sokoni Mombo; usitamani bata wake!!!!

2 comments:

Subi Nukta April 24, 2010 at 5:57 PM  

mweee, mathikini thafari ya mwisho ya bata imeadha. Naomba iwe amembeba wa kufuga tu, asimuwuwe! mwe!

Adam April 25, 2010 at 1:09 PM  

Hee subi wakionea huruma kitoweo!!!!afuge ili iweje??akifuga atage, afu mayai ndiyo yaliwe?? rafiki yangu Evaristo akikusikia!! atakwambia kula mayai ni kula mimba za bata/kuku!! teheteheeee.

mwache akamkulie mbali!! apate nguvu ya kuuza kura yake ockitoba!!

SUBSCRIBE- Andika email yako hapa utumiwe habari mpya

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77

Go Back to TOP