Na Oscar Assenga,Tanga
kuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dk Batilda Burian amesema maendeleo ya Taifa
hayawezi kupimwa kwa kiwango cha uwekezaji au ujenzi wa ...
1 hour ago
"Moto mkubwa huanza kwa cheche" Alhaj Ali Hassan Mwinyi.
© Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77
Go Back to TOP
2 comments:
Bila kichwa ngumu watu hujisahau, watu hawatii adabu, wacha tupate vichwa ngumu wengi walao tutatia akili na kujua tuliko ili tuweze kupanga tunakotakiwa kwenda.
Haya nayo MANENO da Subi, maana. Jana nilikuwa nakokotoa mlinganyo pale fesibuku. kwamba wapinzani wana vichwa ngumu; hivi tendwa kafanya yapi kwa wepesi wa kichwa chake tukimlinganisha na Slaa hata mrema! SITAKI KUAMINI SITAKUBALI ASILANI KWAMBA WATANZANIA WENGINE WOOTE NI WAGUMU VICHWA ILA TU WANAPOKUWA CCM NDIYO VICHWA VINALAINIKA!!! SHENZY TAIPU
Post a Comment