MASHAIRI YETU: LUGHA YETU - NI MTAJI
NI MTAJI
Na Gaudencea Emanuel
Ni ruhusa miamba
Si chanzo kuwekeza
Si uchuro kuchunguza
Madanguro wawabeza
Marufuku wawapumbaza
Niuchochoro kwao faida
Ni uchuro ni wa Afrika?
Madanguro ni wa waafrika?
Wanapunguza aje ulifika?
Hawakatazi wanakufa
Hawatangazi
madonge hawaimbi
watauza mwapunguza?
kondomu mwachunguza
hupunguza mwatangaza
Faida mwaimba
Kibao mwalia
NI MTAJI?
0 comments:
Post a Comment