MWALETA UTANI KATIKA SUALA LA MSINGI KAMA KATIBA YA NCHI!!!!?
Tunachekelea mustakabali wa nchi ukifinyangwa na kukanyagwa mbele ya macho yetu!!? Ujana gani huu? Uzalendo wa wapi huu? Tunageuza suala zima la mjadala wa namna katiba mpya itakavyopatikana kuwa mzaha! komedi tena isiyo ujumbe!!!Tunashabikia kama mazuzu utadhani utani wa jadi kama simba na yanga!! Oh Tanzania mama yetu, pole sana!
Kusoma michango ya wadau mbali mbali bonyeza HAPA au kiunganishi kifuatacho kuelekea Facebook
http://www.facebook.com/photo.php?fbid=2699844816024&set=a.1455905638322.64825.1253767086&type=1&theater
0 comments:
Post a Comment