Pekua/search

Wednesday, April 18, 2012

PONGEZI MARUBANI WA PRECISION AIR KWA KUTANGAZA UTALII

PONGEZI MARUBANI WA PRECISION AIR: Mkandawile, Anderson Wililo na Focus Mbaga

Ni vema, haki na wajibu KUWAPONGEZA Marubani wa PRECISION AIR (PW) Mkandawile, Anderson Wililo na Focus Mbaga, ambao wanakwenda zaidi ya hatua ya matangazo ya kawaida.... 'cabin crew sijui nini na nini cruising wapi na wapi'. Ndugu hawa WANATANGAZA UTALII ILE MBAYA.

Utasikia ...On your left is mount Kilimanjaro, the highest mountain in Africa..YOU SHOUlD BE ABLE TO SEE THE BEAUTIFUL SNOW CAP, Thats Kibo, sijui Mawenzi peak... mara sijui Bagamoyo is historic town, mara sijui spend some time in Arusha, sijui mount Meru is what and what, mara Serengeti and Ngorongoro whatsoever. Wameonyesha mfano ndugu hawa, HATUNABUDI KUWAIGA KILA MMOJA WETU KATIKA AFANYALO AWEKE UZALENDO MBELE.


Mjadala kwenye FACEBOOK bonyeza HAPA

2 comments:

Subi Nukta April 19, 2012 at 2:40 AM  

Nimeipenda hii, nimeisambaza pia wavuti.com nami nimezisikia sifa zao zikivuma kwa abiria wengine!

Adam April 19, 2012 at 4:43 AM  

Hakika Subi. Umefanya vema kujiunga. Isitoshe Precision ndiyo fahari yetu walau iliyobakia. Zaidi wamenifundisha kuwa kila mmoja wetu anaweza kuchangia kukua kwa taifa letu katika nafasi yake aliyomo kama akiweka uzalendo mbele.

SUBSCRIBE- Andika email yako hapa utumiwe habari mpya

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77

Go Back to TOP