Pekua/search

Friday, April 20, 2012

PUMZIKA KWA AMANI BRIGEDIA JENERALI ADAM MWAKANJUKI

Nenda Brigedia Jenerali (Mstaafu) Adam Mwakanjuki. Pumzika kwa amani. Mbio ulizipiga, nchi uliijenga. Utabaki KUWA mfano na ushuhuda wa MUUNGANO wetu. Pumzika kwa amani baba yetu
Picha imesombwa kutoka: http://www.mjengwablog.com.

1 comments:

Evaristo April 24, 2012 at 10:56 AM  

Kumbe umekufa Adamu, Pumzika kwa Amani Brigadia hatukujua tulikuwa
bize na kifo cha Kanumba Supa staa wetu. Nasikia pia Generali Ernest
Mwita Kyaro nae kafariki!!!!!!!! nilifikiri ndo jina jingine la Msanii
Kanumba na nilidhani Stivin Kanumba lilikuwa jina la usanii na hilo la
geerali ndo jina lake halisi au kinyume chake ndo sahii. Enewei
Tulikupendeni Mungu kawapenda zaidi

SUBSCRIBE- Andika email yako hapa utumiwe habari mpya

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77

Go Back to TOP