Pekua/search

Saturday, June 16, 2012

PIGA CHINI CCM; VUNJA UKIMYA- WITO

...Matunda ya uhuru wamekula na wanaendelea kula makombo yake!
...Majani ya uhuru ambayo kina yakhe tulikuwa tukiambulia nayo wameyavamia sasa wanayala kwa kasi ya ajabu!
...Wamegeukia kung'oa hata mizizi ya uhuru wanatafuna hadi magome na shina la mti wa uhuru!

UNGA MKONO MABADILIKO. UNGA MKONO VYAMA VYA UPINZANI. CCM KING'OKE. Kama noma na iwe noma... VUNJA UKIMYA. Shiriki mjadala Facebook

2 comments:

Asifiwe June 18, 2012 at 4:28 AM  

siamini kama tumewahi kuwa huru,,maana sera,,vipaombele vyote twaandaliwa na hao waliopata kututawala,,labda tu kwamba ukoloni uliacha aina ya ukoloni mbaya sana maana sio wao watulao bali tuliowapa kula kwa kura hata ambazo hatukuwapa walijipa,,hapa tuutafute uhuru wa kweli kwa kuubadilisha mfumo,,piga chini ambao wanakusanya kodi kwenye vilevi wakiaacha dhahabu na samaki vikiibwa

Adam June 18, 2012 at 5:18 AM  

Ndugu yangu Asifiwe, umenena vema. Sema ni muhimu kukumbuka daima kwamba kuwa huru ni relative term. Hata ule mwaka baada ya Waingereza kumshinda mjerumani, eti waliikomboa nchi, tehe teheeeeee

SUBSCRIBE- Andika email yako hapa utumiwe habari mpya

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77

Go Back to TOP