WABUNGE NA MAWAZIRI WA CCM WANAVYOTIA KINYAA
Hawa jamaa mawaziri wazima walitoa hela kwa Nchemba kuthibitisha kuwa the House is yet ANOTHER SILLY SEASON!!
"...Kutokana na matusi hayo (ya Nchemba), baadhi ya mawaziri wakiwamo Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Phillipo Mulugo, walimpa fedha Nchemba wakionyesha kuridhishwa na lugha chafu alizokuwa akitoa.
Wakati hao wakitoa fedha hizo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira na baadhi ya mawaziri, walionekana wakichukua fedha mifukoni kwa kuzikunja kwenye karatasi na kuwapa wahudumu wa Bunge wampelekee Nchemba"
Soma mwenyewe gazeti la MTANZANIA la leo (Juni 19 2012) Uone upuuzi huu wa wabunge wetu. CCM kinapaswa kupunzishwa jamaniiiiiii kama sio kukizika kabisa. bonyeza HAPA

0 comments:
Post a Comment