Pekua/search

Saturday, September 8, 2012

Maneno matatu MAZITO: Nidhamu, Taaluma, Uwajibikaji

Ujumbe huu- Maneno matatu MAZITO 
    
Kipo shule ya msingi Makole (usomalini) Dodoma
 Hebu tafakari:
Walimu wenye Nidhamu taaluma madhubuti na wanaowajibika
Viongozi wenye nidhamu, taaluma na wanaowajibika
Watumishi wenye nidhamu, weledi na wanaotimiza wajibu wao
Watanzania wengi wenye wingi wa nidhamu, tunaozingatia utaalam na maujuzi na maarifa katika kutimiza wajibu wetu:

Taifa hili lingekuwa wapi? Tanzania yetu hii ingekuwaje sasa karibu nusu karne?

Lakini kinachokera ni kwamba...eti maneno hata kwenye kanga yapo!!!

0 comments:

SUBSCRIBE- Andika email yako hapa utumiwe habari mpya

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77

Go Back to TOP