Hoja si meno ya Kinana tunaongelea meno ya TEMBO
Hoja
si meno ya Kinana tunaongelea ya TEMBO
“Hoja ya Mzee Kinana hapa inakubalika
kimantiki;
'Kampuni ni yangu, kila kitu ni changu ila meno si yangu'
'Kampuni ni yangu, kila kitu ni changu ila meno si yangu'
NI KWELI MENO SI YAKE NI YA TEMBO! Lakini sasa huko kwenye kampuni yake huko yamefikaje? Na faida itokanayo na kazi inayofanywa na kampuni yake haiji kwake? Na hata mamlaka zinazopaswa kukagua meli si vya serikali ya chama anachokiongoza? Wanaposema serikali ya CCM in impotent, kwanini asikubali tu?” Fuatilia mjadala huu kwenye facebook http://www.facebook.com/photo.php?fbid=10201162411003067&set=a.1455905638322.64825.1253767086&type=1&theater¬if_t=photo_comment
0 comments:
Post a Comment