Mr. Taxman: What have you done for me lately?
Je Huduma zitolewazo na Serikali zinaendana na Kodi kubwa na nyingi?
Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya |
Uhalali pekee wa serikali kutoza wananchi
wake kodi kubwa na nyingi unatokana na huduma zinazotolewa na uwajibikaji wa
serikali kwa wananchi katika kujibu hoja na madai yao kuelekea huduma bora na
kurekebisha kasoro (Obligation to provide explanation and take corrective
measures). Sasa hapa kwetu Halmashauri inaweza kuwa na hati chafu hata miaka
mitano mfululizo lakini hakuna maelezo ya kutosheleza wala hatua madhubuti
kurekebisha hali hiyo.
Kati ya bajeti ya trilioni 19.8 ni bilioni
6.3 tu ndio za miradi ya maendeleo. Hizi trilioni 13 na upuuzi juu zinaenda
wapi? NI matumizi ya kawaida yakiwemo nay ale yanayosababisha tuletewe
mitandaoni picha za NYUCHIz.
Wasanii Lucky Dube na Masudi Kipanya
wameeleza yote. Fuatilia. Jihoji pamoja nao.
Taxman wa Lucky Dube.
Nimeubeba
kutoka http://www.lyrics.net/lyric/1630590
I pay my gardener to clean up my garden
I pay my doctor to check out da other ting
I pay my lawyer to fight for my rights
And I pay my bodyguard to guard my body
There's only one man I pay
But I don't know what I'm paying for
I'm talking about the taxman
I'm talking about the taxman
I'm talking about the taxman
What have you done for me lately
Mr Taxman
What have you done for me lately
Mr Taxman
What have you done for me lately
Mr Taxman
What have you done for me lately
Mr Taxman
You take from the rich, take from the poor
You even take from me, can't understand it
now
I pay for the police to, err...I don't know
why
'Cause if my dollar was good enough
There wouldn't be so much crime in the
streets
They tell me you're a fat man
And you always take and never give
What have you done for me lately
Mr Taxman
Jikumbushe wimbo wa Dube TAXMAN Bonyeza HAPA
https://www.youtube.com/watch?v=Vv6AQHKceBA
Vibonzo na picha ya Waziri Saada ni kutoka
https://www.youtube.com/watch?v=Vv6AQHKceBA
Vibonzo na picha ya Waziri Saada ni kutoka
0 comments:
Post a Comment