TANZANIAN KIND OF POLITICS; ONLY THAT THEY ARE IMPOTENT
Ni kkatika halmashauri ya wilaya ya Arusha mkoani Arusha, Tanzania
Inakuwa vipi wasiokuwa wana CCM wakienda kujitafutia riziki hapo?
Je wakereka hawa, wamefungua tawi hili kwa vile wanakipenda CCM au walikuwa wanatekeleza usemi maarufu wa SUMAYE, F, waziri mkuu mstaafu, "Ukitaka mambo yako yaende sawa, weka bendera ya CCM" Msemo ambao ulishuhudia majambazi yakipita polisi pasipokusimamishwa kisa? wanapeperusha bendera ya CCM.
0 comments:
Post a Comment