Pekua/search

Friday, November 11, 2011

SIKU SERIKALI ITAKAPOKUWA CHAKAVU ITANUNUA MITAMBO USED NA KUUZA CHUMA CHAKAVU"Pole pooooole, taratiiiiibu Serikali ya Tanzania inaanza kuwa CHAKAVU!! Muswada wa kurekebisha sheria ya manunuzi ya umma ukipita, 'kila kitu' kitakuwa USED!! Ama kweli watz tunapenda vitu used!!!"
KUSOMA MJADALA KUHUSU MUSWADA WA KUREKEBISHA SHERIA YA MANUNUZI YA UMMA BONYEZA KIUNGANISHI KIFUATACHO/To read discussion on the 'Bill to amend Public Procurement Act to allow the government to buy used stuff click the following link to FACEBOOK


http://www.facebook.com/photo.php?fbid=2669237970872&set=a.1455905638322.64825.1253767086&type=1&theater

0 comments:

SUBSCRIBE- Andika email yako hapa utumiwe habari mpya

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77

Go Back to TOP