Pekua/search

Wednesday, June 13, 2012

DKT. MWAKYEMBE, UWAJIBIKAJI NA BEZO ZA KUJITAFUTIA UMAARUFU

"Na wanaobeza utendaji wa Mwakyembe ni haohao magamba wanuwa maji ya bendera.....kweli Mwakyembe Mungu amtie nguvu....tunawataka watu kama hao katika nchi yetu ili kusonga mbele....kwani Mwakyembe ameanza kua maarufu leo?? Na utendaji wake umeanza leo??? Kazi zake nzuri zimeanza leo??...

Mwakyembe ameanza kung'ara na kua maarufu kabla hata hajawa mbunge..sifa za mwakyembe nimeanza kuzisikia nikiwa kidato cha tano yy akiwa mkufunzi pale UD,mijizi ndo inambeza lakini thank God Mwakyembe anawakomesha hasa wale wa ATCL waliopeana vyeo na ajira kipumbavu jazz band......safiiii mwakyembe tupo pamoja hao wapumbavu wachache wasikunyime usingizi tena majungu yao yaone kama piriton ya kukupa usingizi mnono..." .. Chatry Mbonde akichangia. FuatiliA mjadala FACEBOOK

0 comments:

SUBSCRIBE- Andika email yako hapa utumiwe habari mpya

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77

Go Back to TOP