Majeshi ya Uingereza Yazamisha Meli ya Kivita ya Wajerumani mto Rufiji
Majeshi ya Uingereza Yazamisha Meli ya Kivita ya
Wajerumani mto Rufiji: Ni Leo (Julai 11) katika Historia
yetu
Mwaka 1915, katika mto
Rufiji, Waingereza waliizamisha meli ya kivita ya Wajerumani iliyojulikana kama
KONISBERG. Meli hiyo ya kivita ilikuwa ikitumia mto Rufiji kama maficho yake.
Izingatiwe kwamba hii ilitokea kama sehemu muhimu ya pilika pilika za Vita Kuu
ya Kwanza ya Dunia.
Unajiuliza; kumbe mto
rufiji ulitumika kupitisha meli! Je kwanini hautumiki sasa? Je ni kwanini hawa
wadudu (Wajerumani na Waingereza) walipambana sana huku kwetu? Je mapambano ya
hivi sasa nani anapigana? Je mvutano wa mataifa ya magharibi na Wachina
utaishia wapi? Nini nafasi yako? NauliSA tu! kufahamu zaidi bonyeza HAPA.http://suite101.com/article/the-sms-konigsberg-and-lettowvorbeck-a176853
Jimeli hilo likiwa mto rufiji mwaka 1915!!!! Leo hata boti hatuna, au? |
0 comments:
Post a Comment