The Great Inspirators - Tuwasifu wakiwa hai bado
Mzee Ambepwile Mwakapasa aka Mfugaji - Kijiji cha Isange, Tukuyu |
They inspired me to love Community development
Ni katika kutafakari misimamo na mitazamo ya wazee hawa nikajiwa na falsafa ya ING'ENG'EESI, kimombo Bamboo bee! Hana sifa sana za kuweza kuruka, lakini anaruka sana tu.
Ndipo nilipopata picha kwamba kazi za kujiolea ni sawa na bomba la maji..haliyanywi maji hayo lakini hupoozwa nayo.
It is from them that i learnt to love Community development work. God bless these great men of Isange Village, Tukuyu, Mbeya, Tanzania. (Shukrani nyingi kwa Hezekia Mwalugaja wa HOCET kwa picha hizi) la sivyo nisingeweza kupata kuwashukuru wazee wangu hawa wangali hai.Pamoja na hawa katika kundi hili yuko John Mwalugaja, Mwasakujonga na Ben Mwakanyamale(hawako pichani)! Mungu awabariki.Mzee Ahadi Lufingo Mwakibete (Tshirt nyeusi)- Isange, Tukuyu |
Mzee Robert Mwakasendo aka Mwenyekiti (kushoto)- Isange |