UJASIRI WA KIFARANGA: Anayakana mazingira ‘mazuri’ kuUtafuta uhuru.
UJASIRI WA KIFARANGA:
Anayakana mazingira ‘mazuri’ kuUtafuta uhuru.
Naam, tunahitaji ujasiri wa kifaranga (kama mtu binafsi na
taifa). KIFARANGA Anayakana mazingira mazuri (ndani ya yai) yaliyomlea. Inafika
wakati Anaamua kutoka nje na kuutafuta uhuru wa kweli, liwalo na liwe- vicheche
vipanga mwewe nk...lakini huko ndiko inakopatikana fursa ya kumfanya kuwa KUKU
halisi.
Wengi wetu nchini Tanzania tumenufaika kwa namna mmoja ama
nyingine na Mfumo OZO uliopo...lakini tumuige kifaranga sasa...tusiendelee sana
ndani ya ya yai! Tunie kuubadili mfumo
huu kwa dhati ya nafsi zetu. INAWEZA KUTIMIA. TUKITAKA KWA DHATI KABISA.
0 comments:
Post a Comment