Pekua/search

Sunday, March 10, 2013

IMANI (Potofu) za WATANZANIA KUHUSU UCHAGUZI WA KENYA:

IMANI (Potofu) za WATANZANIA KUHUSU UCHAGUZI WA KENYA:

1. CCM kimemsaidia Uhuru Kenyatta kuiba kura
2. Rais Kibaki alikuja Tanzania kusuka mipango ya wizi huo
3.Msaada wa CHADEMA kwa Raila ndiyo umemfanya ashindwe
4. Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana alikuwa Kenya kuongoza wizi wa kura kwa ajili ya Uhuru maana yeye ni mwizi mzoefu
5. Raila ni kibaraka wa Marekani na Uingereza
6. CHADEMA walimshtua Raila, "Oyaaa, unaibiwa wewe kupitia mbinu za kidijiti"

PONGEZI UHURU. HONGERA WAKENYA.


Fuatilia mjadala huu kwenye facebook bonyeza HAPA

0 comments:

SUBSCRIBE- Andika email yako hapa utumiwe habari mpya

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008 modified by Subi nukta77

Go Back to TOP