Ingekuwa vipi Rais Kikwete angewalabua vibao Dkt Kawambwa na Mulugo kwa matokeo mabaya kidato cha nne 2012? Tafakari adhabu ya viboko shuleni.
Imepigwa kutoka kwenye kijitabu cha Twaweza- Adhabu ya viboko. |
Ingekuwa vipi Rais Kikwete angewalabua vibao
Dkt Kawambwa na Mulugo kwa matokeo mabaya kidato cha nne 2012? Tafakari adhabu
ya viboko shuleni.
Mhe. Mulogo na Viboko vyao.
Ingekuwa vipi Rais Kikwete ANGEMLABUA kibao Dkt. Kawambwa, au Mulugo kwa 'kufelisha wanafunzi???'. SI VIBOKO NI MUHIMU KTK KULETA UFANISI? Shukrani Twaweza kwa katabu haka kanakofikirisha.
Ingekuwa vipi Rais Kikwete ANGEMLABUA kibao Dkt. Kawambwa, au Mulugo kwa 'kufelisha wanafunzi???'. SI VIBOKO NI MUHIMU KTK KULETA UFANISI? Shukrani Twaweza kwa katabu haka kanakofikirisha.
Emmanuel Mwakyusa UMEONAAA hapooo hakuna akitu
kinaendaa kitumwaa kitumwaa viboko kwa mwananfunzi vinafaa inapohusu sioo njiaa
pekee ya kujengaa jamii boraa kwani hataa wakikuaa watahitaji viboko
kutoendeshaa garii taa zikiwakaa nyekunduu unakuwa unawafundishaa nidhamu ya
wogaa badalaa ya nafs ya kuuuliza na kuelewaa nini hasaa wanatakiwa kufanyaa
45 minutes ago · Unlike · 1
Adam
Gwankaja haswaaaaaaaaaaaaaa...
41 minutes ago · Like · 1
Emmanuel Mwakyusa hatupingi vibokoo vinaa vigezo
na mashart tenaa visizoelekee ilaa vitumikee kwa kiasi na sababu lakini kama
walimu hawalipwi vitabu hakunaa mitaalaa mibovu na mawaziri hawajui hataa
MUUNGANO wa nchi yaoo muwatwike viboko wanafunzi kwa misingi ipi hasaaaaa ?
Kusoma michango
zaidi katika mjadala huu Facebook bonyeza HAPA
0 comments:
Post a Comment