Lengo la Kagame na Museveni ni moja kwa Tanzania
Imeandikwa na Kaa la Chuma
Watanzania wenzagu, mabibi na mabwana asalaam alaikum, Bwana Mungu asifiwe.
Paul Kagame na Yowel Museveni ni watutsi (Hamitics) wanaoamini kuwa wao ndio bora mbele za Mungu na wao ni super race (kizazi bora) tuliosalia wabantu kuonekana machoni pao inferior race (kizazi cha ovyo).
Hivyo basi ni imani yao kuwa si jambo jema kwa kizazi cha ovyo
kuendelea kuneemeka na neema tulizopewa na Mwenyezi Mungu, Ardhi nzuri,
milima ya kuvutia, madini ya kila aina, malisho ya mifugo bora, mito
maziwa na bahari. Lengo lao linakuwa kuhakikisha kwa njia yoyote ile iwe
kumwaga damu yaani vita au vinginevyo wanatutawala na kutanua himaya ya
wahima (HIMA EMPIRE).
Ninamjua vizuri Mseveni Yowel Kaguta, kipindi cha vita ya Kagera alikuwa
upande wetu tukipambana dhidi ya Idi Amini Dada. Vitani alitumia nick
name ya MUYOKA yaani JOKA kifupi cha Museven Yowel Kaguta na wakati
mwingine alijibadirisha nick names kulingana na sehemu ya mapambano.
Ilifikia wakati nikiwa na wanajeshi wenzangu wa Tanzania tume- take control
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebe na ushindi wa kumuondoa Idi
Amini umekaribia, makamanda tulianza kujadili ni nani anafaa kuwa rais
wa Uganda na ni akina nani wanafaa kuwa wasaidizi wake. Makamanda
watiifu kwa kikundi cha Mseveni walimpigia debe lakini sisi watz na
jumuiya ya kimataifa tukamuona bado ni cha mtoto kuwa TOP MANYOTA
tukamshauri atachukua nafasi fulani nyeti tena ya juu akagoma.
Alichukizwa na hali hiyo akatugeuka na kuanza kutushambulia wanajeshi wa
Tanzania na kuangamiza walio wengi sana. Viongozi wetu wa kijeshi ngazi
za juu komandi ya mwisho wakatuamuru makomando wote kuwa Museveni
amekuwa adui na akionekana popote apatikane akiwa hai au mfu. Huyu jamaa
kweli nyoka tulikuwa tunafanya Commando Mission tunaona
gari aina ya Land Rover 109 anayoitumia inakatiza eneo la vita akiwemo
tunaimwagia risasi nyingi na kuilipua anatoweka katika mazingira ya
kutatanisha. Tulimaliza Vita tukarejea Tanzania akiwa amejificha misitu
ya KONGO na akitembelea kwa baba yake na Paul Kagame Mzee Rukwavu Kagame
( rukwavu kinyarwanda maana yake sungura) huko Rwanda.
Mikakati yao ni aina moja, wanapandikiza watutsi ukabila wa nchi fulani
fulani na kujiita wagoma, wakivu, wasukuma, waha, wahaya, wachaga na
kujiita wazanaki lengo kuu ikiwa kujificha Unyarwanda wao (ututsi) ili
kutawala sekta nyeti nchi za jirani ili mwisho wa siku mapinduzi
yafanyike kiulaini. Hebu jiulize Tanzania usalama wetu uko wapi? Mkoani
Kagera watutsi wanyarwanda wanajiita wahaya,wanyambo, wahangaza. Mkoani
Singida wamejipachika makabila ya huko wakati huo huo Dar na Kigoma
wanajiita waha. Iko siku wanatugeuka! Take care.
Siwezi kutoa siri ya jeshi hata siku moja ila wanasiasa
nawatahadharisheni rushwa imekuwa ndiyo mbinu ya kuingia madarakani na
ninyi ndio mmekuwa mkiamua mambo ya nchi hivyo kesho na kesho kutwa
kikinuka mnatuamuru tuingie vitani. Halmashauri za Kagera wilaya zote
ngazi nyeti wameshika watutsi kwa rushwa wanafedha kutoka kwa Kagame na
Mseveni kuandaa mpango maalum. Hali kadhalika kwa mikoa ya
Kigoma,Tabora, Mara na Katavi ni watutsi ndio madiwani, wabunge,
madaktari mahospitalini, wenyeviti wa Halmashauri nk mpango maalum wa
Rwanda na Uganda.
Si ngazi hizo tu mpaka mawaziri ni watutsi, iko siku kitanuka kisa
wanyarwanda waliojipachika utanzania mkawaruhusu kuongoza wamefanya
mipango kuruhusu majeshi na siraha za Rwanda na Uganda kuingia nchini na
kuteka maeneo muhimu raia a Tz wakazuiliwa kutoka au kuingia eneo
lililotekwa wakatumika kama (HUMAN SHIELD) ngao ya binadamu itakuwa ngumu kuwanasua na kulikomboa eneo husika.
USHAURI: Wanasiasa acheni longolongo, vita si lelemama (sio kwamba naogopa wakianzisha tupo fiti na mziki watauona)
ila acheni ufisadi unaoangusha uchumi wa nchi ili vita ikitokea uchumi
ukiwa juu inakuwa rahisi kuliko uchumi ukiwa kama hivi ulivyo sasa na
oparesheni maalum ya uraia halisi ifanyike bila kuangalia sura taaluma
au utajiri wa mtu.
Imeandikwa na Kaa la Chuma (jamii Forum http://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/510788-lengo-la-kagame-na-mseveni-ni-moja-kwa-tanzania.html#post7160298)
Mchangiaji mmoja amesema:
Watanzania inabidi muwe macho na hawa wahutu wenye uchu wa damu za
watusi,wanataka kuwaingiza katika matatizo makubwa yani janga! ili
waweze kuingia madarakani,mwenye macho haambiwi tazamo,naamini yeyeyote
yule anaye fikiria kupeleka vita kigali atakua mgojwa wa hakili kwani
hatafaulu,na badala yake nikuwatia watanzania katika maisha ya ukimbizi
ambayo hawakuyazoea,please epukaneni na hizo siasa za wahutu kama huyu
mtoa maada.
Adam:
Langu mimi ni kwamba, chuki ya kikabila baina ya Wahutu na Watutsi isiposhughulikiwa, itaisambaratisha Afrika Mashariki na Kati! Hapa kinachotawala ni CHUKI na TAMAA.
0 comments:
Post a Comment