Precision Air imevimbiwa?
Naamini kampuni hii muhimu inaweza kufanya zaidi ya hivi. Inahitaji kiasi gani cha fedha kukarabati ubovu huu? Mdharau mwiba guu huota tende na mzaha mzaha hutumbukia usaha!
Kazi ni kwao!
Shilingi au dola ngapi kurekebisha kiti hiki? |
Shilingi au dola ngapi kurekebisha kiti hiki? |
Ili kiwe kama hiki? |
Mimi sijasema kwamba hayo ni mayai ya mende au mapambo!!! |
Mimi sijasema kwamba hayo ni mayai ya mende au mapambo!!! |
Hii ni ndani ya ndege mojawapo ya PW nadhani ni nambari 411
1 comments:
duh! kazi ipo.
Post a Comment