The Wings of Kilimanjaro vs Wings of THE Kilimanjaro....?
The Wings of Kilimanjaro na Wings of THE Kilimanjaro....ni sawa?
NAULISA...
1. Wings of THE Kilimanjaro
2.THE wings of Kilimanjaro.
![]() |
Bango la Air Tanzania- maandishi hayo yako kwenye moja ya ndege |
Nimeeona tungo hizo kwenye kila moja kati ya ndege mbili za Air Tanzania. Hizo article ZE zinabadili maana? Au basi kwanini zimeandikwa sehemu tofauti ya tungo?
Au ni kwa kuwa Kiingilishi chenyewe
kililetwa kwa MELI ama Ndege?
Mliobobea katika Lugha ya Kimombo
saidieni.
Napenda kujifunza tu. Nisije ulizwa
ugenini nikawatieni aibu.
![]() |
Ndege yenye Wings of the Kilimanjaro |
0 comments:
Post a Comment